WAFALMEKI Infos Chanson pour la Paix
Peace song (Kiswahili version)
VERSE ONE
Naskia sauti ya crying babies na mothers smell ya dead fathers brother aki fight na brothers sister na sister clans na tribe bila Mali na land waki arm their hands left hands wana vote , right wana Somali sword juu ya kivuitus word O/P supporters wameturn mad waki such for blood watu god aliwabless wakabaki landless waka gather kwa hill bila peace , watu god aliwa bless wakabaki landless waka
CHORUS
Tunataka peace ndani ya mtaa ndani ya mtaa Ili together tuwe strong so strong tunataka peace ndani ya mtaa ndani ya mtaa Ili together tuwe strong so strong
Nani ata simama alete amani Nani ata simama wwowowowowoo
VERSE TWO
Peace amani mtaani please nifanye nini mnitamani majamani nilika mbali na ujambazi sote tunakufa na kiangazi tukatafte makazi tuka tandike malazi kwa hii trail peace hii prevail peace hii feel pain watu kukatana na mapanga wengine na madaga amani ndio tunataka tunatanga tanga mpaka kwa sadaka pastor nipe security mpaka kwa sadaka,
Church ziko empty white flag ya peace imechomwa ya political parties ndio Naona mbona !!!!!! White flag ya peace ya imechomwa ya political parties ndio Naona mbona!!!!!!
CHORUS
Tunataka peace ndani ya mtaa ndani ya mtaa Ili together tuwe strong so strong tunataka peace ndani ya mtaa ndani ya mtaa Ili together tuwe strong so strong
Nani ata simama alete amani Nani ata simama wwowowowowoo
VERSE THREE
Wanaspread coffin ya man media na message ya kofi annan G.S.U wametu surround hatutoki Kwa slum nyumba zina go up in flames wenye hands na legs wamebaki lames Nyumba za tent zimejaa watoto bila parents harassment yaku tafuta order imegeuka a shoot to kill order,
Hii ni kama idha kuakilisha mitaa habari za vita za huku Africa andika kuanzia moja na kadhalika wakati usha pita tujenge uchumi tuwache kupigana vijana na wasichana kwa hii sanaa tuna pambana. Aaah